MBINU ZA KUKUZA ACCOUNT YA INSTAGRAM ZIPO KATIKA MAFUNGU MAWILI
1. Followers wa kweli
2. Followers fake
1- Followers wa kweli
Hawa ni followers ambao unawapata kwa njia halali na ni watu walio follow account yako kwa ajili ya kuona yaliyomo ( faida yake hutoa reaction kwa kitu ukicho post na maranyingi huwa active)
2- Followers fake
Hawa ni followers walio follow account yako kutoka kwenye follow to follow apps ambazo mtu anaweza ku follow account bila hata kujua inahusika na nini ( faida yao ni kuongeza tu idadi ya namba ya followers wako)
JINSI YA KUPATA FOLLOWERS WA KWELI
1 - Hakikisha account yako ina profile picture
2 - Hakikisha account yako ni public
3 - Tumia mbinu ya follow to follow
Follow account za watu wa kawaida nyingi ili watumiwe ujumbe kua umewafollow na baadhi yao watakufollow back japo sio wote . Watu hao unaweza kuwakuta kwenye comment za video za vituko , account za marafiki unao fahamiana nao ( lengo ni kupata wale watu wa kawaida sana maranyingi huwa ndio u follow back pale mtu anapo m follow)
4- Tumia Tags na Hashtags
Tags na Hashtags husaidia picha yako au video uliyo post kwenye Instagram kuwafikia wengi , hakikisha unatumia tags maarufu na kuwatags watu wanao tafutwa sana kwenye Instagram
5- Jitangaze kwenye comment za watu maarufu ili kufikia watu wengi zaidi
JINSI YA KUPATA FOLLOWERS FAKE
Followers fake wanapatikana katika magroup ya whatsapp ya follow to follow na katika magroup ya telegram yanayo jihusisha na follow to follow
Pia hupatika katikika katika application zinazo jihusisha na followers boost ( maranyingi hazipatikani playstore)
KATIKA SECTION YA MAGROUP 👉 KATIKA HII APP UNAWEZA KUPATA MAGROUP YA FOLLOW TO FOLLOW AU MAGROUP YA IT YATAYO KUSAIDIA KUPATA APPS ZA KU BOOST FOLLOWERS