NJIA ZA KUPATA PESA KUPITIA WHATSAPP



Unaweza kuingiza kiasi kidogo cha pesa kupitia Whatsapp kwenye simu yako , ni njia ambayo haita kuitaji kuwa na mtaji , haita kiupotezea muda na unaweza kufanya huku ukiendelea kufanya kazi zako zengine.


   1. ANZISHA GROUP LA MAFUNZO

Unaweza kuanzisha group la kutoa mafunzo yoyote yale kuhusu kitu unacho kifahamu , uzoefu nacho  una utaaram kuhusu icho.

   Yawezekana kuna kitu una uzoefu nacho au una utaaram nacho na ukachukulia kawaida , labda wote wanakifahamu na hawata hitaji kujifunza lakini ukweli ni kwamba watu wanahitaji . Weka tozo kwa kila mamber wa group anae hitaji kujiunga kwenye group , au anae hutaji kuendelea kuwemo katika group. ( tutatoa post kihusu vitu unavyo weza kutoa mafunzo kama hauta pata)


        2. UZA BIDHAA

Unaweza kujipatia pesa kwenye Whatsapp kwa kuuza bidhaa kwa watu. Utahitaji kufungua group la Whatsapp la kawaida ambapo utawafanya watu wawe serious ku chat ndani ya group hilo na kukataza links na matangazo , bali wewe pekee ndie utakua ukituma matangazo ya bidhaa zako ndani ya group . Unaweza kumiliki magroup hata maatatu kwaajili ya kupata hadhira kubwa.

   Ni bidhaa aina mbili tu unazo weza kuuza kwenye magroup ya whatsapp

  1- Bidhaa zinazo tegemea Software

  2- Bidhaa halisi 

(tutatoa post inayo eleza orodha ya bidhaa unazo weza kuuza kwenye magroup ya whatsapp)


            3. TOA HUDUMA

Unaweza kutoa huduma kupitia magroup ya whatsapp na ukapata kiasi cha pesa , pia utahitaji kuanzisha ma group active ya watu ku chat kawaida na kataza mtu kutuma link au matangazo ndani ya group na wewe pekee ndie utakua ukituma matangazo ya huduma utayo chagua kuifanya . Huduma unazo takiwa kufanya kwenye Whatsapp ni zile zinazo tegemea Software haswa japo zote ni zinawezekana lakini zinazo tegemea Software ni rahisi sana kufanyika whatsapp. ( Tutatoa post inayo toa orodha ya huduma za kufanya kwenye Whatsapp)

    

          4- FANYA UDARALI

Moja ya mbinu yenye matokeo makubwa kwenye Whatsapp ni kufanya udarali wa huduma au wa bidhaa kwa kutafuta watu wanao uza bidhaa au wanao toa huduma fulani (wanao aminika na wewe mwenyewe) na kutangaza kupitia magroup ya Whatsapp au status 


NJIA HIZO ZOTE NILIZOWEKA NI AMBAZO ZA UHAKIKA ASILIMIA 100% ENDAPO UTAAMUA KUFANYA , NA NI MBINU AMBAZO NIMEKUA NIKITUMIA KIJIPATA KIPATO CHA PEMBENI KWENYE WHATSAPP NA UNAWEZA KUPATA HADI Tsh 25,000 KWA SIKU